|

Ojcze nasz... Baba yetu uliye mbinguni, jina lako litukuzwe. Ufalme wako ufike. Utakalo lifanyike duniani mbinguni. Utupe Leo mkate wetu wa kila siku. Utusamehe makosa yetu, kama tunavyowasamehe na sisi waliotukosea. Usitutie katika kishawishi, lakini utuopoe maovuni. Amina Zdrowaś Maryjo... Salamu Maria, umejaa neema; Bwana yu nawe; emebarikiwa kuliko wanawake wote, na Yesu mzao wa tumbo lako, amebarikiwa. Maria Mtakatifu, Mama wa Mungu, utuombee sisi wakosefu, Sasa na saa ya kufa kwetu. Amina |